- sakramenti
- [Swahili Word] sakramenti[Swahili Plural] sakramenti[English Word] sacrament[English Plural] sacraments[Part of Speech] noun[Class] 9/10[Swahili Definition] Sakramenti ni dalili ya nje, na inayoonekana kwa macho, ya neema ya ndani na ya rohoni tunayopewa, imeamriwa na Kristo mwenyewe, kuwa njia ya kupokelea neema hiyo, na kuwa ar[Swahili Example] kuna Sakramenti ngapi alizoamuru Kristo katika Kanisa lake? [http://justus.anglican.org/resources/pc/bcp/swahili_catechism.html Katibu cha Sala kwa Watu Wote, 1906][English Example] how many Sacraments hath Christ ordained in his Church? [http://www.eskimo.com/sakramentilhowell/bcp1662/baptism/catchism.html Book of Common Prayer, 1662][Terminology] Christian------------------------------------------------------------
Swahili-english dictionary. 2013.